Nilikutana na hili swali na mimi nikawa na jibu lake... Karibu tulione
Swali: Je inakaaje hapa maana tunasikia kwamba๐๐
"Mwanaume unatakiwa kuoa mwanamke anayekupenda sana kuliko wewe unavyompenda au Mwanamke unatakiwa kuelewa na Mwanaume anayekupenda sana kuliko wewe unavyompenda"
Utakuwa nami mchambuzi wako
Name: Bro Jackobo
Phone: +255766944441
Email: jackobombwaga@gmail.com
anajibu๐๐๐๐...
Tunashukuru Mungu kwakuwa tunapata changamoto na mawazo mbalimbali yanayotupa akili na ufahamu wa kutafuta kujua kweli.๐๐๐
Tatizo sio hiyo statement ila hiyo statement iko na a lot of pains behind...
Niliwahi kusikia wakisema "There is unspoken truth within the song that someone loves the most"
sasa๐๐๐
People have faced with a lot of "Psychological tortures and disappointments" following true love they had before, sasa baada ya kuumia wameshikwa na kitu kinaitwa๐๐ "Post Traumatic stress Disorder {PTSD}" sasa hii inawagharimu maana wanahisi wakiwa na mtu wanampenda sana wanaweza kuumizwa tena mara ya Pili. Sasa ego zao ndio zinawafanya wawe na little faith kwamba watampata mtu ambaye ni mwaminifu siku zote ili kuepuka kuumia mara ya pili๐๐.
So watu wanakuwa na Denial kwenye kuwa na mtu anayempenda maana kiuhalisia hakuna ambaye hataki kuoa au kuole na mtu ampendaye sana. Kuna mengi ya kusema but acha niishie hapo hope utakuwa umenipata kidogo......
labda kimsingi inatakiwa iwe namna gani kimsingi??๐๐๐๐
What will make people bounded together firmly is True love only kwahiyo lazima umpende mtu unayetaka kumuoa au kuolewa naye.
Mwingine atasema mwanamke anaheshimu ila Mwanaume anapenda๐๐ sawa sikukatalii ngoja nikuonyeshe kitu hapa ndugu yangu๐๐๐
Waefeso 5:24-25 (KJV)
"Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, akajitoa kwa ajili yake;"
Msingi wa Ndoa ni Yesu Kristo na kanisa. Mwanaume akitaka kuoa lazima ajipime kwa kigezo cha Kristo Yesu katika kumpenda mtu huyo anataka kumuoa ukiona huwezi kuwa kama Yesu alivyo na anavyolipenda kanisa basi wewe hutakiwi kumuoa huyo mtu maana kuna wakati mambo yanaweza yakaenda kombo na itatakiwa hivi๐๐๐
๐Ujitoe sadaka kwa ajili yake na uwe radhi hata kufa kwa ajili ya mkeo_
๐uwe tayari kumsamehe katika kila kosa atakalokufanyia ndio maana biblia inazungumza masuala ya kutokuwa na uchungu na wake zenu_
๐Kuwa tayari kudharilishwa kwa ajili ya huyo mke wako au mtu wako ili apate heshima mf Soma Hosea kwa Gomeri ilikuwaje {kitabu cha Hosea} pia Yesu mwenyewe kwa ajili yetu sisi. N.k
Hapo nimekuonyesha nafasi kidogo ya namna mwanaume anatakiwa kumpenda mkewe. Sasa ukiona kwa namna hiyo huwezi kumpenda mkeo au mtu huyo uko naye kwa mpango wa ndoa basi wewe hauko tayari kwenda na huyo..........
Sasa twende kwa upande wa mwanamke๐๐๐
Tumekwisha kuona msingi wa Ndoa ni Yesu Kristo na Kanisa๐๐
Yaani YESU=Mume na KANISA=MKE. Ukitaka kuelewa kwanini wanasema mwanamke amtii mume basi jifunze kwa kanisa๐๐๐
Yohana 15:16 (KJV)
"Si ninyi mlionichagua mimi, bali ni mimi niliyewachagua ninyi; nami nikawaweka mwende mkazae matunda; na matunda yenu yapate kukaa; ili kwamba lo lote mmwombalo Baba kwa jina langu awapeni."
Ukisoma hapo ni kwamba Yesu ndiye anachagua halafu kanisa linatii wito ndipo imekuja hii concept bro๐๐ kwamba Mwanaume atamchagua mwanamke anayemtaka kwa maongozi ya Mungu mwenyewe then mwanamke atapima na kumkubali au kumkataa sasa ikiwa amemkubali inabidi afuate yale maagizo ya mumewe yaani atii๐ sijui umenipata concept ilipokuja kuanzia eehh๐ค๐ค๐ค
sasa kwanini nimesema lazima kuwe na True love between them from both side yani Kijana wa kiume na Binti๐๐
Ona hapo mtumishi
Yohana 14:15-16 (KJV)
"Mkinipenda, mtazishika amri zangu. Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine, ili akae nanyi hata milele;"
Yesu anawaambia wanafunzi/Kanisa wakimpenda watashika amri zake ni sawa niseme hivi..๐๐
"Mke akimpenda mume atamtii yaani atashika sheria za mumewe"
Sasa kinachoweza kumfanya Mke aweze kumtii mumewe ni Yeye kumpenda mumewe bila kumpenda hawezi kumtii yaani mimi kanisa nisipompenda Yesu piga ua galagaza siwezi shika sheria zake.
Kwahiyo mke sio kwamba alipoambiwa amtii mumewe basi hatakiwi kupenda ila nikujaribu kuonyesha msisitizo wa kiuongozi ndani ya Familia na mgawanyiko wa kimajukumu ili kwamba kusije tokea migogoro isiyo ya lazima๐๐
Kama ni binti lazima uwe na mtu ambaye unampenda.
Hilo wazo la kwamba "Umuoe mtu anayekupenda sana au uolewe na anayekupenda sana" litaleta shida kubwa katika ndoa kikubwa lazima kuwepo kwa upendo baina ya watu hao ndipo wataweza kuwa pamoja na Roho wa Mungu atawafunika katika kila kitu wakifanyacho. Huwa ninasema hivi siku zote๐๐๐
"Love is life, out of Love there is no life"
So without Love no marriage that will exist.
So Mwanamke hajawa excluded kupenda.
Moja ya dhara kubwa ya kuishi ma mtu usiyempenda ni kwamba๐๐๐
"Ukiwa na mtu usiyempenda huwezi kuwa committed kwake na kuna uwezekano mkubwa mkaachana maana bado haujampenda huyo mtu vizuri."
Yaani kuna watu wanafikiri kwamba zile sifa za upendo kwenye wakorintho๐๐๐๐
1 Wakorintho 13:4-8(KJV)
"Upendo huvumilia, hufadhili; upendo hauhusudu; upendo hautakabari; haujivuni; haukosi kuwa na adabu; hautafuti mambo yake; hauoni uchungu; hauhesabu mabaya; haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli; huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. Upendo haupungui neno wakati wo wote; bali ukiwapo unabii utabatilika; zikiwapo lugha, zitakoma; yakiwapo maarifa, yatabatilika."
Hufikiri kwamba hizi sifa hazitumiki katika ndoa kitu ambacho ni wazo potofu. Sasa huu upendo unatumika katika ndoa bila hivyo hamtaweza kudumu pamoja.
LET LOVE LEAD❤️❤️
Ulikuwa na mchambuzi wako
Name: Bro Jackobo
Phone: +255766944441
Email: jackobombwaga@gmail.com
Thanks brother.
ReplyDeleteCongratulation limeeleweka
ReplyDeleteWell clarified ๐๐
ReplyDeleteGood content
ReplyDeleteGood! Be blessed
ReplyDeleteGod bless you abundantly.
ReplyDeleteGod bless you
DeleteGod bless you for a good teachings.
Delete