NINI MAANA YA KUJAZWA ROHO MTAKATIFU???? Kablasijaendelea naombanianze na utangulizikidogo juu ya rohomtakatifu kabla sijaelezakujazwarohomtakatifu ni nini ROHOMTAKATIFUNI NANI??? Kwanza juaya kwamba huwezi kumtenganisha ROHOMTAKATIFUpekee yake akawaanajitosheleza palipo yeye lazima hatamwanana Baba wote wapo na hapa si watatu bali ni mmoja 1.ROHO MTAKATIFUNI MUNGU sifazake kama MUNGUNI a.ANAJUA YOTE1KOR2:10 B.YUPO MAHALIPOTEZAB139:7-9 C.ANA NGUVUZOTE MDO1;8 D.NI WAMILELE EBR9:14 E.ANAFUFUA WARUMI8;11 2.ROHO MTAKATIFUNI NAFSIYA TATU YA MUNGU sifazake kama nafsi A.ROHIMTAKATIFUANASEMA MDO10:19-20 B.ROHO MTAKATIFUHUWA ANAKATAZA MDO16:6-7 KWANINI SASATUJAWENA ROHO MTAKATIFUSASA??? kujawa Roho mtakatifuni kukipokea kipawacha Mungualichokiahidi... MDO 1:8 Naunapozungumzia ujazo waroho mtakatifuhuwa unadhihirikakwa ishara yakunenakwa Lugha na mabomengnemengyaliyoekezwa katika utendaji wakaz yake pamoja na mwaminiMDO 2:1-4 na kujazwaROHOMTAKATIFUsio swala lasikumoja ni lakila sikukwa kila Mwamini wakristokunauwezekano mkubwa mtuakawaameokoka lakini bado hajajazwa ROHOMTAKATIFUbali anaye ROHOMTAKATIFU tofautikati ya mtualiyejazwa na ambaye anaroho Mtakatifu ikohapa kwamba aliyejazwa piaanaye ROHO MTAKATIFUtenaananguvuzaMunguna huyumtuanaweza kusimama kama muwakilishi waMUNGU MDO1:8 kwahiyo huyo anaweza akasimama akawashahidi waMUNGU lakinihuyu aliye na Roho waMungulakinihajajaa haweziakasimamakama shahidi maana hataweza kusimamakwa ujasiri kueleza sirizaMUNGU na huyuyuko hatiani sana kuanguka kumbuka petrokabla hajajazwa Roho mtakatifualimkana yesu lakinibaada yakujaaalieleza siri zaMUNGUkwa ujasiri Mbeleya kadamnasi bila wogaMDO2:14-42 kwahiyo kilaaliyemwamini lazima ajazwena ROHOMTAKATIFU A.KUJAZWA NAROHOMTAKATIFU NI AGIZOLAYESUKWA WAFUASIWAKE MDO1:2-4; YOH15:16 B.AHADIYETUTOKAKWA BABA LUKA24:49; MDO2:38-39 C.KWASABABUYA WAJIBU WETU TULIOPEWA NAMUNGU tumepewa wajibu muhim sana kama zifatazo >kamakujengana ndani yakanisa, >kumwabudu Munguyoh4:23-24, math15:8 na >kuufikiaulimwengu Rumi8:1 MPENDWAKATIKA KRISTO INAKUPASA KUIPATANGUVUHIYOILI UWE NA USALAMAWASAFARiI YA KWENDA MBINGUNImaanapasipo kujaasikuya parapandautakosa NGUVU yakukuwezeshakusikiakengele kwa hiyoni lazima ujaena kunenakwa LUGHA mpya, kuweka mikonojuu ya wagonjwawakapata afya japohiyosio tiketiya kwamba umejawana yeye maanayeyehuwa anajisimamia mwenyewe katika utendaji wakaziyake solazima uhakikishwena yeye mwenyewe kwamba wewe ni wake kabisa NJIAZA KUJLIWA NAROHO MTAKATIFU A.kusikianeno laMUNGU MDO10:44-46 B.kusifuna kabudukatika utakatifu LUKA24:50-53 MDO16:24 C.kumuomba MUNGU juu ya ujazowa NGUVUzake LUKA11:13 D. Kuwekewamikonona watumishiwa MUNGUMDO8:14-17 MDO 19:6-7 SIFAZAMTU MWENYEKUJILIWA NA ROHOMTAKATIFU 1.lazima awe AMEOKOKA MDO2:37-39 MATH5:8 2.Lazima huyuMTU awe na kiu ya KumpokeaROHOMTAKATIFU yoh7:37-39 MATH5:6 3.Lazima awe na imani yakumpokea ROHOWAMUNGUEBR11:6 MATOKEOYA KUJILIWANAROHO MTAKATIFU 1.Kunena kwa LUGHA MPYA MDO2:4 2.kupoke NGUVUZA MUNGUMDO 1:8 na mengine mengisana jackobombwag@gmai.com +255766944441 +255621036471 MUNGUakubariki MWANAWA MUNGU KWA KUUSOMA UJUMBE HUU share na wenginekama utakuwaumebriiwa
www.google.com
ROHO MTAKATIFU NDANI YA MKRISTO WA KWELI
ROHO MTAKATIFU NDANI YA MKRISTO WA KWELI
Labels:
ROHO MTAKATIFU NDANI YA MWAMINI
BADO NEEMA YA WOKOVU IPO HAKUNA HAJA YA KUOGOPA WEWE TUBU DHAMBI ZAKO UTASAMEHEWA NAWE UTAOKOKA
(MATHAYO 11:28)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
KUSIMAMA IMARA NDANI YA YESU KRISTO (sehemu ya Pili_Final)
Bro Jackobo Utakuwa nami mtumishi katika Kristo Yesu Jina: Bro Jackobo Number: +255766944441 Email: jackobombwaga@gmail.com Blog website: ja...
-
Bro Jackobo Utakuwa nami mtumishi katika kristo Yesu Jina: Bro Jackobo Namba: +255766944441 Email: jackobombwaga@gmail.com Bwana Yesu asifi...
-
Bro Jackobo Utakuwa nami mtumishi katika Kristo Yesu Jina: Bro Jackobo Number: +255766944441 Email: jackobombwaga@gmail.com Blog website: ja...
No comments:
Post a Comment